Msaada juu ya kilimo Cha Bilinganya

Msaada juu ya kilimo Cha Bilinganya

lumia21

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2015
Posts
274
Reaction score
259
Wadau naomba msaada kwa wanao jua chochote kuhusu kilimo cha Bilinganya hasa masoko

Mie nimkulima , huwa nalima Ngogwe ali maarufu kama nyanya chungu lakin nataka hamia kwenye Bilinganya...

Ningependa juzwa ni mda gani mzuri wa kulima zao hili kwa upande wa soko.

(hasa la Dar maana niko kilosa)
 
Back
Top Bottom