Habar wana Jamvi nakuja tena Leo niombe tujadili kuhusu kilimo cha Umwagiliaji kwa njia zote Mifereji(furrow), basin irrigation (majaluba), drip irrigation, sprinkler irrigation Na nyinginezo...
Wanajukwaa habarini.
Kipindi hiki cha kuelekea mwezi wa nne na tano natarajia kulima shamba langu kwa matarajio ya kulima kwa umwagiliaji. Nimefanya utafiti wa eneo husika, mazao niliyoyataja hapo...
Wakuu amani kwenu, hii ni technology mpya ya kilimo (walau machoni pangu). Naomba kama kuna mdau yeyote mwenye ufahamu wa aina hii ya kilimo anifahamishe. Nahitaji kuwekeza kwenye aina hii ya...
Habari wana jamvi
Nauliza vyuo gani bora kwa kozi za kilimo kwa mwanafunzi anayetaka kusoma certificate ya general agriculture?
Pia namna gani rahisi ya kupata ufadhili wa serikali ukiangalia kwa...
Wakuu husika na kichwa cha habari hapo juu. Kwa yeyote mwenye ufahamu wa Kuku, naomba kujuzwa eneo zuri, ambalo lina ni wazi sana halina msongamano wa watu kwa ufugaji wa kuku kwa mikoa ya dar na...
Habari zenu,
Naomba kuuliza ni wapi kwa hapa Dar naweza kupata Hydroponic fodder
kwa anayefahamu au kama kuna mtu yoyote anahusika na hiyo issue naomba anicheck.
0712354526 Nipo Kimara Stopover
Habari zenu wajasiriamali na wahangaikaji wenzangu nakuiteni kwa ajili ya kubadilishana uzoefu katika utumiaji wa mashine za utotoleshaji vifaranga kwa matokeo mazuri nini na kipi mtumiaji wa...
Jinsi ya kutengeneza Incubator Isiyotumia Umeme.
Clay incubator
1.Tafuta chumba kisafi sehemu ya kona ya chumba.
2.tengeneza Frame ya Incubator pande mbili.
3.Tengeneza Tray itayobeba mayai tumia...
BROILER PARENTS STOCK
Mpaka sasa Ulimwenguni kote kuna kampuni 3 pekee zinazo zalisha parents stock wa Broiler hizi kampuni zina breeds tofauto tofauti za Broiler.
1. Aviagen
Hawa wanazalisha...
1. Miaka ya 1995 baadhi ya watu walianza kusema kuwa hizi hybrid seeds zinashambuliwa sana na magonja kuliko mbegu za asili.
2. Miaka ya hivi karibuni wadudu wanaoshambulia mazao wamekuwa tishio...
MDUDU KANTANGAZE ( Tuta absoluta) AZIDI KUUA KILIMO CHA NYANYA TANZANIA.
Leo nimeona habari iliyotolewa na ITV kuhusu zaidi za ekari mianane za Nyanya katika kijiji cha Ngarenanyuki wilaya ya...
Habari Wakuu,
Naomba wadau/wajumbe waliopo katika mikoa au sehemu mbalimbali ya Tanzania mtusaidie kujua bei ya mahindi kwa ndoo ya lita 20.
Angalizo: Ni yale mahindi yanayotoa unga mwingi.
Hello wadau na wakuu wa forum hii adimu ya JF!
mimi ni kijana wa umri wa miaka 26,
naishi mwanza mjini kabisa.
nimekuja mbele zenu hapa mnipatie msaada wa vifaa mbalimbali ili niweze kuingia...
Wakuu Salaam.
Hongereni kwa shughuli mbalimbali za ujenzi wa maisha binafsi na taifa kwa ujumla.
Naomba msaada wa mawazo. Ninafuga kuku wa mayai ya kisasa na machotara. Sasa for the past two...
Habari wazalendo wa nchi hii yaani wakulima,
Niona nifungue uzi huu kwa wale wakulima wa mazao ya muda mfupi, ili tufahamishane hali ya soko bei kupanda na kushuka, lakini pia tupeane taarifa ya...
Utotoleshaji wa vifaranga kwa haraka haraka utaona ni biashara inayo lipa sana na ukipigiwa mahesabu unaweza hata kutoa notce kazini ya 24 hours ukaanze biashara kwa kununua Mashine yaani...
Habari zenu wadau wa jukwaa hili.
Ninahitaji kusafirisha Dagaa nje ya nchi katika nchi jirani. Sasa kumekuwa na kamta kamata kila kona kuanzia huko kwa wavuvi mpaka mipakani, wote wanadai vibali...
Kama we mkulima wa matunda aina yeyote njoo PM Tuzungumze kampuni inachukua matunda mbali mbali na kuyapack kwa ajili ya Export.Napenda tufanye mazungumzo na mkulima direct Sio Dalali maana...
Habari zenu ndugu zangu. Nahitaji ushauri wenu. Nina Incubator ya 500W ninasumbuka sana na namna umeme unavyokatakata kiasi kwamba inaniharibia na kutoa hatching rate mbovu. Na nina Generator lkn...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.