Msaada, kuondoa Nyuki

Msaada, kuondoa Nyuki

jopss

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2015
Posts
297
Reaction score
454
087C6CB9-885E-41D9-A0F5-2ED57B0FCEB4.jpeg
Habari wadau,
Naomba msaada mwenye kufahamu njia rahisi ya kuwaondoa nyuki waliojenga pembeni ya paa la nyumba.
Natanguliza shukurani.
 
Dawa ya nyuki moshi tu, watasepa huto waona tena, nakushauri kama itawezekana fukiza moshi eneo hilo.
 
Choma majani au kitu chochote kinachoweza kutoa moshi watakimbia haraka sana.
Weka majani chini choma ondoka wenyewe wataondoka
 
Kuna jamaa Wa Tawiri huwa wanawaondoa wote Na kuondoka nao kwenda kuwafuga habaki hata mmoja Na huwa haileti madhara kwa pande zote .

Sasa ukitumia moshi utasumbuka kwa siku kadhaa maana wengi watalewa Na kubaki kuwaletea usumbufu usiwasumbue kama hujapata njia nzuri ya uhakika ya kuwaondoa .
Nashauri uwaache waendelee Na maisha hapo hapo kama hutowapata wataalamu ,kuwauwa sio njia sahihi.
 
wanakukera nini?[/QUOTE
Siku za karibuni wameanza kutoka na kuuma watu ,wana zaidi ya mwaka hapo muda wote huo hawakuwa kero mpaka walipoanza kushambulia watu.
 
Choma kitu hapo chini moshi wake ukifika huko juu watakimbia wote
 
Nyuki ni mifugo ya maliasili kuwaua ni kosa...
Kuna dawa za kufukuza nyuki kanunue upulize. Kwenye dari si kuna sehemu ya kuingia? Wakati unafanya yote uwe umejipaka mafuta taa mwilini wasikung'ate.. Hakikisha pia hujapaka pafyumu
 
Majibu mengi yanasema moshi, jamaa anasema moshi amejaribu hawajaondoka. Au ajaribu moshi wa mmea?
 
Subiri Jua likipoa mkamate malikia umuuze
 
Moshi nimejaribu , njia hii haikufanikiwa sababu wapo kwa ndani Moshi hauwafikii.
Nenda kariakoo kanunue dudu all, nunua na sprayer la lita 18.
Changanya dawa yako iwe kali.
Kuna ile manhole ya kuendea ya ceiling ifungue.
Pulizia dawa hapo tu kwenye man hole. Kisha ifunge.
Shughuli yote hii ifanywe wakati watoto wapo shule, mifugo ipo kwa mbali.


Sent from my SM-T285 using JamiiForums mobile app
 
Nenda kariakoo kanunue dudu all, nunua na sprayer la lita 18.
Changanya dawa yako iwe kali.
Kuna ile manhole ya kuendea ya ceiling ifungue.
Pulizia dawa hapo tu kwenye man hole. Kisha ifunge.
Shughuli yote hii ifanywe wakati watoto wapo shule, mifugo ipo kwa mbali.


Sent from my SM-T285 using JamiiForums mobile app

Nashukuru sana kwa ushauri, nitafanya hivyo.
 
Back
Top Bottom