Ugonjwa hatari wa Nguruwe Dar

E

emgoa

Member
Joined
Jun 23, 2012
Messages
11
Likes
1
Points
5
E

emgoa

Member
Joined Jun 23, 2012
11 1 5
Wapendwa nimepigiwa simu na rafiki yangu ataniambia kuna ugonjwa wa kutetemeka ambao unaua sana nguruwe huko Tabata na Kinyerezi. Mwenye habari kamili na tafadhali atujuze hapa.
 
Preta

Preta

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2009
Messages
24,193
Likes
3,385
Points
280
Preta

Preta

JF-Expert Member
Joined Nov 28, 2009
24,193 3,385 280
Wapendwa nimepigiwa simu na rafiki yangu ataniambia kuna ugonjwa wa kutetemeka ambao unaua sana nguruwe huko Tabata na Kinyerezi. Mwenye habari kamili na tafadhali atujuze hapa.
Wewe wa kwako wameonyesha dalili yoyote.......?.......wahi kwa mtaalam haraka.......hiyo hali isijesababisha uhaba wa hicho kitoweo msimu huu wa sikukuu.........
 
dimaa

dimaa

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2016
Messages
2,303
Likes
3,060
Points
280
Age
27
dimaa

dimaa

JF-Expert Member
Joined Jul 30, 2016
2,303 3,060 280
Wapendwa nimepigiwa simu na rafiki yangu ataniambia kuna ugonjwa wa kutetemeka ambao unaua sana nguruwe huko Tabata na Kinyerezi. Mwenye habari kamili na tafadhali atujuze hapa.
Wacha zife zinaharibu mzingira
 
Transcend

Transcend

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2015
Messages
17,832
Likes
54,463
Points
280
Transcend

Transcend

JF-Expert Member
Joined Jan 2, 2015
17,832 54,463 280
Niko sinza kwa samsoni nakula Noah hapa...

Sasa ninyi mnataka kunitisha..acheni hizo ..
 
mlogolaje

mlogolaje

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2016
Messages
1,477
Likes
744
Points
280
Age
41
mlogolaje

mlogolaje

JF-Expert Member
Joined Nov 10, 2016
1,477 744 280
Ivi nifuge na kulima mini maana vyote deal,nachoka mimi
 
Behaviourist

Behaviourist

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2016
Messages
17,737
Likes
26,460
Points
280
Behaviourist

Behaviourist

JF-Expert Member
Joined Apr 8, 2016
17,737 26,460 280
Wewe wa kwako wameonyesha dalili yoyote.......?.......wahi kwa mtaalam haraka.......hiyo hali isijesababisha uhaba wa hicho kitoweo msimu huu wa sikukuu.........
inakuwaje uibuliwe kutoka mafichoni na hii thread??.....lazima kuna kitu!
 
M

marvinpm

Member
Joined
Mar 11, 2018
Messages
39
Likes
5
Points
15
M

marvinpm

Member
Joined Mar 11, 2018
39 5 15
Hello..... Karibuni Sana Katika group linalohusu ufugaji wa nguruwe

Karibu Sana wewe mtaalamu wa mifugo, mfugaji, mnunuzi, pamoja na Wale wenye kiu ya kujifunza zaidi kuhusu ufugaji huu wenye tija na kipato cha uhakika.....

Click link ifuatayo kujiunga......

Zingatia kujitambulisha pindi tu uingiapo katika group hili
ZINGATIA KUJITAMBULISHA PINDI TU UINGIAPO KATIKA GROUP HILI... JINA, MKOA, SHUGHULI

TSA- PIG FARMING
 
Forum statistics

Threads 1,273,109
Members 490,296
Posts 30,471,778