Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

Habari wakulima, Kama kuna ambae huwa analima na kuuza tikiti masoko ya dar es salaam naomba aniunganishe na dalali wake ambae ni mwaminifu ili niwe namtumia kumpelekea mzigo wangu ukiiva. Nina...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Habari wadau.. Natafuta mtaalamu wa kunivutia nyuki shambani kwangu. Kama kuna mwenye mawasiliano naomba msaada. Shamba liko Mkuranga na malipo nitafanya baada ya nyuki kuhamia kwenye mizinga...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu, nimechimba kisima cha mkono cha futi kama 35 hv (10.666 meter) na nataka ninunue mashine kwa ajili ya kumwagilia, swali langu ni je 1. Nikichukua zile za kudumbukiza kwenye maji...
1 Reactions
5 Replies
8K Views
Wadau, baada ya kusoma sana mada mbalimbali zinazohusu tikiti na kuelewa, nilijipanga na kumtafuta mtaalamu atakaeweza kunisimamia na kilimo cha tikiti, Mungu ni mwema nilimpata na mwezi wa 9...
4 Reactions
20 Replies
5K Views
Habari, Baada ya Hali kuwa ngumu hapa Mjini Dsm nimefikiri naweza a nzia shambani kwa kuwa Dsm na Morogoro ni karibu hivyo naomba kufahamisha mambo kadhaa 1. Naomba kujua sehem Nzuri nayoweza Lima...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari za mida ndg zangu,ninatokea kanda ya ziwa,mkoa wa Mara.Naomba msaada was mawazo kwa mtu mwenye uzoefu wa kilimo cha dengu,mawazo yako yajikite zaidi katika muda mwafaka wa kupanda zao la...
0 Reactions
0 Replies
796 Views
Nahitaji kufanya kilimo cha umwagiliaji ila naomba kupewa ufafanuzi wa mazao yanayofaa kulima na soko lake halina usumbufu na mkoa upi unagharama nafuu kwa nyanja zote machine ninayo ya kumwagilia...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Kilimo kina changamoto nyingi sana. Unaweza kusoma mahali unaambiwa ekari moja unavuna gunia 30 na kuendelea ukaona ni kazi nyepesi hivyo ndugu zako kijijini wakikwambia tuma hela tukulimie huku...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
Tuna tatizo kubwa sana la ajira, watu wamefunga, wengine wanakesha wakisali na kuomba makanisani na misikitini wapate ajira lakini bado tatizo lipo. Tanzania tumebarikiwa Ardhi, Halafu pia...
1 Reactions
1 Replies
3K Views
Kwa anayetaka funza kwa ajili ya mifugo … tuwasiliane. Natengeneza funza kwa ajili ya kuku, bata, mbwa n.k Kwa wale wanaohitaji tuwasiliane. Walioko mbali nitawaelekeza waandae huko huko waliko...
8 Reactions
68 Replies
20K Views
Ndugu zangu wakulima umezuka ugonjwa mbaya unashambulia mimea ya mahindi kwa kasi sana, ugonjwa huu uta waathiri sana wakulima wa mahindi mkoa wa Rukwa iwapo haitadhibitiwa mapema.
1 Reactions
39 Replies
13K Views
Homa ya Matumbo (Fowl Typhoid) Ugonjwa huu husababishwa na Bakteria na huwapata kuku wa umri wote. NAMNA UNAVO ENEA huambukizwa kutoka kwa kuku wagonjwa kwenda kwa kuku wasio wagonjwa, kupitia...
1 Reactions
0 Replies
6K Views
Habarini za usiku wana janvi wenzangu ,nimekuwa mfuatiliaji wa vyakula vya mifugo kwa ujumla kwa undani,laikini nimekuwa nikishangazwa na hiki kitu kinaitwa concetrate ambayo uchanganywa na...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Habari, kwa wajuzi wa Mambo ya KILIMO, Avocado inayopatikana Tanzania inaitwaje kitaalam? Nimeona kama South Africa wanazo aina 3 Hass, Fuerte, and Puebla... Tanzania tuna aina gani? Shukrani.
1 Reactions
15 Replies
4K Views
habari wana jamii natumai mu wazima wa afya,samahani naomba kufahamishwa ni jinsi gani naweza kupata mashine za kusaga kokote na bei zake,napatikana singida Nitafurahi mkinisaidia kwa hilo
0 Reactions
1 Replies
8K Views
Habari zenu ndugu zangu, Naomba kwenye taarifa zozote kuwa wapi naweza kupata mkopo wa kilimo anisaidie,natafuta kukopa kiasi cha 3mil. Kwa lengo la kuimarisha Shamba la mpunga lililoanza tayari...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Tunao kama 200 tunatafuta soko. Tuko hapa Dar. Bei sh15,000. kwa anaetaka wote bei inapoa. Simu: 0712729015
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Habari ndugu zangu, nimeona nilete kwenu fursa hii ya ufugaji wa kuku wa nyama pamoja na mayai; Mimi nina mabanda makubwa mawili ambayo kila moja lina uwezo wa kubeba kuku layers (watagaji) 500...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Back
Top Bottom