Namna ya kudhibiti Nguruwe Pori kwa uharibifu shamba la Mihogo

jm group

Senior Member
Jan 10, 2015
118
83
Wadau,

Kama mada husika hapo nina shamba kubwa la mihogo changamoto kubwa niliyonayo ni nguruwe usiku wanafanya uharibufu.

Naomba mawazo na maarifa ya kuwadhibiti

Ahsanteni
 
Kisarawe hawa wadudu walinifanya nichukie kilimo cha mihogo..... Mchana nyani wanavunja mashina YA mihogo usiku nguruwe wanachimba mihogo... Yaaani we Acha tu nyani kumi ndani y lisaa wanaweza kuvunja mihogo kwenye shmba la heka Tano likawa kama uwanja wa mpira..... Kuna jiran yangu nyani walivuba maembe jamaa akawa anasema anaenda kuwaloga
 
Hahaha eti kuwaloga
 
Pole sana bro hao nyani, ngedere, kima dawa yao Fanya kila namna umkamate mmoja, kisha mnyoe kipala umpake kichwa rangi nyekundu au nyeupe kisha mvalishe kiroba na mbugi/kengele kisha muachie kila akifuata wenzie watankimbia hadi watatokomea..
 
ahahahaah ampake oil chafu tu amwachie watahama wote umenikumbusha long nikiwa moshi
 
Dawa nyingine ni hii nunua box la sindano za mkono za kushonea alafu nunua machane ya ndizi mbivu alafu uingize kija ndizi sindano kwa kadri ya wingi wa hizo ndizi alafu weka njia yao au zunguka hilo shamba kila atakae gusa kichane cha ndizi kuumia hawezi kula tena chochote na kifo Ndio kinamsubiria.
 
mimi nilidhibiti hawa wadudu kwa kutumia
Pole sana bro hao nyani, ngedere, kima dawa yao Fanya kila namna umkamate mmoja, kisha mnyoe kipala umpake kichwa rangi nyekundu au nyeupe kisha mvalishe kiroba na mbugi/kengele kisha muachie kila akifuata wenzie watankimbia hadi watatokomea..
fensing wire though it is costful. kwa kuzungusha kamba mbili za seng'enge ile yenye vuchuma vilivyongoka ngiri hakatizi na hata nyani inamuwia ngumu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom