Ushauri: Nina mtaji na eneo lenye upatikanaji wa maji kwa wingi, nataka kuanza ufugaji wa nguruwe

Joasi

JF-Expert Member
Apr 3, 2014
768
667
Habari za leo natumaini wazima wote.

Nipo na mtaji na eneo lenye upatikanaji wa maji kwa wingi, naomba ushauri kwa ufugaji wa nguruwe.

Nahitaji kujua gharama za nguruwe mmoja kumtunza kwa miezi6 na ufugaji kwa ujumla.

Karibuni tupate mawazo
 
Habari za leo natumaini wazima wote.

Nipo na mtaji na eneo lenye upatikanaji wa maji kwa wingi, naomba ushauri kwa ufugaji wa nguruwe.

Nahitaji kujua gharama za nguruwe mmoja kumtunza kwa miezi6 na ufugaji kwa ujumla.

Karibuni tupate mawazo
Boniphace EXTENSIONIST DIPLOMA GENERAL AGRICULTURE
kama una eneo ni vzuri kujua mazingra na maambukizi ya magonjwa ya mifugo eneo husika pia ubunifu mzuri ktk ujenzi wa mabanda ya nguruwe kuepuka hasara za vifo vya mapema(litter)
 
Hello..... Karibuni Sana Katika group linalohusu ufugaji wa nguruwe

Karibu Sana wewe mtaalamu wa mifugo, mfugaji, mnunuzi, pamoja na Wale wenye kiu ya kujifunza zaidi kuhusu ufugaji huu wenye tija na kipato cha uhakika.....

Click link ifuatayo kujiunga......

Zingatia kujitambulisha pindi tu uingiapo katika group hili
ZINGATIA KUJITAMBULISHA PINDI TU UINGIAPO KATIKA GROUP HILI... JINA, MKOA, SHUGHULI

TSA- PIG FARMING
 
Back
Top Bottom