Enforcement dilemmas. ICT regulation adds new dimensions, such as the ongoing internationalisation of ICT, which makes enforcement all the more difficult. However, technology could offer solutions...
Msaada...
hapo mwanzoni INTAGRAM ilikuwa inafunguka ila sasa ivi tangu INSTAGRAM ibadilishwe icon kwenye simu yangu haifunguki
Naweza kuinstall na ikishakuwa installed kwenye simu ile icon...
Wadau simu yangu INA hilo tatizo. Ilikuwa inachaji vizuri tu kwa chaja za kawaida ila kwa sasa inaishia asilimia 2 tu mpaka nitumie power bank.
Je, nini inaweza kuwa tatizo.
Technology never stops being astonishing in every way possible. Most of the devices in this list look like they’ve just came out of a Sci-Fi movie, but maybe really soon they will be being used by...
Habari wanandugu pande zote za ulimwengu naombeni msaada wenu hapa siku tano zilizopita nime install UBUNTU kwenye laptop yangu lakini kutokana na kutokujua ninachokifanya ilipelekea kufuta vitu...
Phones are now a big part of us. They are like our hands and arms. We all love 'em right? We get most of our jobs done, do things we couldn't imagine doing before. Well, here are 22 things you may...
Naomben Masada nn solution kama cm ikiwa inaganda sana au kwa lugha nyingine tunaweza sema ina stakii na inakuwa slow sna kweny kifungua Apps,, msaada jaman nn nifanye kuondokana na hlo tatizo
naomba mwenye kufaham program nzuri ya kuconvert video zenye mb kubwa kwa kuzipunguza eg mb 50 angalau ziwe chini ya 10 na pia kutoka video kwenda audio
Jamani samahanini,
Wale wenye mautundu ya line,
Line yangu aina ya Tigo ilianza kutotoa delivery report nikituma sms nikabadili program lakini bado tatizo halikuisha mwishoni mwa wiki ilopita...
Habari Wana JF,
Nahitaji mtu wa kunitengenezea blog nzuri, mwenye kutaka hii kazi please anipm. Naomba watakaonipm wawe detailed vilevile wanipe link nione blog ambazo wamezitengeneza. Na please...
Zifuatazo ni code za kujiunga na vifurushi vyetu vya VODACOM kwa haraka.
Hii ni njia ndefu.Mpaka kukupata kwa Cheka bundles.
*149*01#.
•Ili ujiunge na kifurushi cha Cheka cha shilingi miatano...
Mimi nimtumiaji wa ving'amuzi vya easy tv kwa muda mrefu na ni vingamuzi vizuri saaana na channel za local zipo[Tz]zote.
Kinacho niudhi kwa sasa ni hawa wamiliki hawatafuti mawakala wa kuuza...
Hey beloved,
Naulizia namna ya kuapata app yenye liturigia ya nyimbo za kikisto haswa kwa wale wanosali KKKT. Nimekwenda play store lakini sipati hiyo kabisa
Many thanks in advance
Download app ya Mobdro kuweza kuangalia Channel mbalimbali kwenye simu yako, ziwe za michezo kama ESPN,sky sports, euro sports...za miziki kama kiss Tv UK, 4 music..za habari, documentaries na...