Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Mtanzania Anyakuwa Tuzo ya TEHAMA Kenya Kila mwisho wa mwaka kumekua kukitolewa tunzo za utambuzi wa michango mbali mbali ya wana TEHAMA maeneo mengi ambapo mwaka huu Tuzo 31 zilitolewa jijini...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
nina iphone 5s ipo na version 10.1.1 ninaweza kui jail break msaada eataalam
0 Reactions
0 Replies
580 Views
wakuu habri zenu, inakuaje unakuta phone inauzwa ebay (buy it now) then after some minutes ukitaka ku view hiyo item unakutana na msg " This listing (302158799954) has been removed, or this item...
0 Reactions
1 Replies
582 Views
Wanajamii naomba kufahamu namna ya kuhamisha app kwenda kwenye SD card ktk tecno w4 nikienda kwenye storage memory inaonekana lazini haioneshi kama kunakilicho ingia
0 Reactions
1 Replies
581 Views
Wana jamii forum naomba msaada wa app nzuri ya kuroot simu yangu pamoja na hatua za kufuata. Simu ni samsung galaxy s3
1 Reactions
2 Replies
763 Views
Enforcement dilemmas. ICT regulation adds new dimensions, such as the ongoing internationalisation of ICT, which makes enforcement all the more difficult. However, technology could offer solutions...
0 Reactions
0 Replies
578 Views
Msaada... hapo mwanzoni INTAGRAM ilikuwa inafunguka ila sasa ivi tangu INSTAGRAM ibadilishwe icon kwenye simu yangu haifunguki Naweza kuinstall na ikishakuwa installed kwenye simu ile icon...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Msaada smart phone aina ya infinix x551haisomi network. nimeletewa na mtu kama zawadi toka nairobi. Line mbili zote hazisomi. Msaada tafadhali
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari wakuu nauliza kwa mtu mwenye ufahamu na hizi simu pia kuhusu bei kibongobongo imekaaje msaada wakuu
0 Reactions
3 Replies
793 Views
Wakuu hvi mzigo wangu ukifika posta ntajuaje kuwa umeshafika na nina paswa kwenda kuuchukua?, nimenunua Ebay
1 Reactions
2 Replies
982 Views
Wadau simu yangu INA hilo tatizo. Ilikuwa inachaji vizuri tu kwa chaja za kawaida ila kwa sasa inaishia asilimia 2 tu mpaka nitumie power bank. Je, nini inaweza kuwa tatizo.
0 Reactions
4 Replies
913 Views
Technology never stops being astonishing in every way possible. Most of the devices in this list look like they’ve just came out of a Sci-Fi movie, but maybe really soon they will be being used by...
0 Reactions
2 Replies
830 Views
Habari wanandugu pande zote za ulimwengu naombeni msaada wenu hapa siku tano zilizopita nime install UBUNTU kwenye laptop yangu lakini kutokana na kutokujua ninachokifanya ilipelekea kufuta vitu...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Phones are now a big part of us. They are like our hands and arms. We all love 'em right? We get most of our jobs done, do things we couldn't imagine doing before. Well, here are 22 things you may...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Naomben Masada nn solution kama cm ikiwa inaganda sana au kwa lugha nyingine tunaweza sema ina stakii na inakuwa slow sna kweny kifungua Apps,, msaada jaman nn nifanye kuondokana na hlo tatizo
0 Reactions
7 Replies
7K Views
naomba mwenye kufaham program nzuri ya kuconvert video zenye mb kubwa kwa kuzipunguza eg mb 50 angalau ziwe chini ya 10 na pia kutoka video kwenda audio
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Jamani samahanini, Wale wenye mautundu ya line, Line yangu aina ya Tigo ilianza kutotoa delivery report nikituma sms nikabadili program lakini bado tatizo halikuisha mwishoni mwa wiki ilopita...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari za mda wanajanvi Natafuta soft inayoweza kushusha ukubwa wa picha hadi kufikia 4kb.
2 Reactions
0 Replies
607 Views
Habari Wana JF, Nahitaji mtu wa kunitengenezea blog nzuri, mwenye kutaka hii kazi please anipm. Naomba watakaonipm wawe detailed vilevile wanipe link nione blog ambazo wamezitengeneza. Na please...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Zifuatazo ni code za kujiunga na vifurushi vyetu vya VODACOM kwa haraka. Hii ni njia ndefu.Mpaka kukupata kwa Cheka bundles. *149*01#. •Ili ujiunge na kifurushi cha Cheka cha shilingi miatano...
2 Reactions
10 Replies
68K Views
Back
Top Bottom