Msaada wa kuifanya simu yako iwe fasta

Ryanvonryx

Member
Dec 24, 2016
19
45
Dah simu yangu imekuwa slow sana mpaka muda mwingine natamani kuivunja xoz ukifungua mafaili inaload mda mrefu sana
Muda mwingine mpaka uizime mwanga wa screen af uwashe ndo ifanye kazi japo inakuwa polepile sana na mda mwingine ina stack
Naombeni msaada jamani
 
mojave

JF-Expert Member
Apr 30, 2016
5,595
2,000
Dah simu yangu imekuwa slow sana mpaka muda mwingine natamani kuivunja xoz ukifungua mafaili inaload mda mrefu sana
Muda mwingine mpaka uizime mwanga wa screen af uwashe ndo ifanye kazi japo inakuwa polepile sana na mda mwingine ina stack
Naombeni msaada jamani
simu gani hyo mkuu
 
Mars Rover

JF-Expert Member
Apr 27, 2012
337
250
Dah bro n y3 plus tecno
Pia jaribu kupitia storage capacity iliyobakia kwenye simu, kama itakua imekaribia kujaa basi futa baadhi ya videos na picha.
Ingekua vizuri kama ungepata memory card ili uhamishie baadhi ya files na applications kutoka kwenye phone storage kwenda kwenye hiyo SD card, hii itasaidia kuipa Android sehemu (workspace) ya kutosha kufanyia kazi hatimaye kuongeza speed ya simu.
 
Sawa dah kumbe jambo dg
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom