Msàada: PC haisomi simu kupitia usb cable!!

Lavit

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2011
Posts
16,014
Reaction score
36,696
Wadau napata hili tatizo kila nikiunganisha simu na Pc... Nimejaribu simu tofauti tofauti pia cable tofauti napata matokeo Yale yale...

Huu ni mfano Wa maandishi inayotoa

309be241321b23ee20ab7888af18ab88.jpg
 
Kwanza simu yako ni Aina gani? Na wewe unataka uione kama storage media ?
 
Wadau napata hili tatizo kila nikiunganisha simu na Pc... Nimejaribu simu tofauti tofauti pia cable tofauti napata matokeo Yale yale...

Huu ni mfano Wa maandishi inayotoa

309be241321b23ee20ab7888af18ab88.jpg
julisha simu yako aina gani. download usb ya hiyo simu ama nenda kwenye setting tafuta development usb debug weka on driver unaweza zipata kwenye simu pia
 
update usb driver then tafuta usb za ku transfer data.
 
julisha simu yako aina gani. download usb ya hiyo simu ama nenda kwenye setting tafuta development usb debug weka on driver unaweza zipata kwenye simu pia
Natumia Note 4
 
badilisha usb connector aka charger connector ya hiyo simu kumbe ni usb not recognized nimeone ume edit thread
Naomba msaada mm pc yangu kila nikiangalia video yan zinanata nata sana mpaka nakosa hata raha ya kucheki movies
 
hizo video km unaziangalia kwa kutumia CD/DVD HAPO KUNA VITU VIWILI cd zakao ama CD/DVD Rom mbovu
 
Naangalia video zipo kwenye pc kabisa wala sio kwa kutumia cd yan nikicheki movies tu na nyimbo za vedeo inanata nata sana
 
Back
Top Bottom