social_science
JF-Expert Member
- Dec 19, 2015
- 1,106
- 1,259
Wakuu
Naomba suggestion y games tu enjoy wote kila nazo jaribu zina stuck
Asante
Naomba suggestion y games tu enjoy wote kila nazo jaribu zina stuck
Asante
Fifa na nyinginezo mkuuuhujasema ni dell gan? Processor ni saiz ipi. Hujatuambia specs za graphic card? Sema hvyo vitu nlivyokuambia usaidiwe. Ila kwa game nyingi zinazoanzia 2010 na kuendelea zinahtaj @ least 4gb of ram kuweza kucheza vzur..
Super Mario &Delta force zinacheza fresh bila lagging slow motionWakuu
Naomba suggestion y games tu enjoy wote kila nazo jaribu zina stuck
Asante
Fifa vip mkuu inaweza cheza y mwak gn?Super Mario &Delta force zinacheza fresh bila lagging slow motion
Nokia torch nao hawakosi. ....Gemu la nyoka
Ngoja kesho niangalie cp u nikupe mrejeshocpu ni muhimu zaidi bila kuitaja unatwanga tu maji kwenye kinu, almost games zote za 32bit hazitaki ram zaidi ya 2gb
Vijana wakila wakashiba wanamatatizo sanaGemu la nyoka
Upo sawa kijana?zuma na mdako
Upo sawa kijana?
Hahahaaa. Lol.Gemu la nyoka