Kampuni ya Samsung imetangaza kwamba itazifanya simu zote za Note 7 ziache kufanya kazi wakati hazijachomekwa kwenye charger.
Watafanya hivyo kwa kutoa software update amabayo itaji download...
kuna mdau anauliza wapi anaweza pata modem yenye uwezo wa 4G au Min Router na bei zake ili ajue NB kwenye bei apo ya dukani ni kiasi gani na mkononi kwa mtu ni kiasi gani?
CHIEF MKWAWA na wengineo naomba mnisaidie katika hili, natumia Microsoft Lumia 430 Dual Phone.
Simu yangu baadhi ya website nikifungua nashindwa ku-scroll down and up. Sielewi tatizo ni nini...
Nimeanza kujifunza game development na hii ni game yangu ya kwanza. Tafadhali ipakue play store na unipe maoni
Endless Speed Racing 2D - Android Apps on Google Play
Naomben msaada nimehangaika kuroot techno N2 kwa appsroot nyingi imegoma , ni android 6.0
Ambaye anajua njia nzuri hasa ikiwa bila kutumia Pc anisaidie
Salaam jf.
Kama header inavyojinadi. Nilitaka kujua bei ya Wireless Camera a.k.a ip cam kwa hapa tz ikiwemo na installation au bila install. Je! Naweza tumia smartphone kama ip camera.?
Mimi natumia simu, tecno y 4 ambayo ni laini, mbili, kwa laini zote . Changamoto ambayo inanisumbua Leo nimenunua laini ya univesties student, wamenisajilia vizuri tu na inapiga kazi upande laini...
Habar zenu wakuu…!
Mi nimgeni kwny hili jukwaa, so naomba mnikaribishe!
Nilinunua kompyuta mpakato wiki tatu zilizopita ikiwa ni second hand. Ni "hp ProBook 4446s". Tatizo lnalonisumbua ni
1...
Habari zenu wanatech wa humu ndani nina budget ya around 300-350k nahitaji kununua smartphone na nina option hizi tatu,galaxy s4,htc m7,na Lg g2, naomba kwa kutumia uzoefu nifahamishwe device...
A US Patent was approved in June for a new hypersonic airbus that would allow passengers to be transported from London to New York in just one hour.
Airbus say the jet will reach speeds of Mach...
Friends, I am experiencing weak cellphone signals in my village house. As I intend to spend a long time living there next year I cannot tolerate the situation. I know that there are companies...
Ndugu wana jukwaa wenzamgu habarini .
Nimejitokeza kwenu kuomba msaada kuhusiana na hyu mtoto wa bill gates cortanakama anavyojiita mwenyewe nimejaribu kusett afanye kazi kama ilivyokua awali kwa...
Habari zenu wanaJF.
Samahanini jamani nilikuwa naomba kueleweshwa jinsi gani naweza ku-install mchezo wa FIFA 14 kwenye PC yangu yenye window 8.1 pro kwan nimejaribu kila njia lakn cjafanikiwa...
Kwanza wadau naomba mnijuze tofauti ya ya hizi Samsung za S series, A series pamoja na J series unakuta labda kuna J5, S5, na A5 nini tofauti yao kubwa na Kati ya IPhone 5 na Samsung 5 ipi no bora...
Hvi nini kifanyike kwenye hizi cm za manual flan labda Vodacom au tigo ambazo uaambiwa lain no 1 lazima iwe ya mtandao huo,, je ili uondokan na hlo tatizo LA kukataka utie lain ya mtandao huo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.