Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Habari Wana JF, Nahitaji mtu wa kunitengenezea blog nzuri, mwenye kutaka hii kazi please anipm. Naomba watakaonipm wawe detailed vilevile wanipe link nione blog ambazo wamezitengeneza. Na please...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Zifuatazo ni code za kujiunga na vifurushi vyetu vya VODACOM kwa haraka. Hii ni njia ndefu.Mpaka kukupata kwa Cheka bundles. *149*01#. •Ili ujiunge na kifurushi cha Cheka cha shilingi miatano...
2 Reactions
10 Replies
68K Views
Wadau nimenunua simu tajwa hapo Juu lkn kupiga video call nimeshindwa Naomba maelekezo kwa anayefahamu.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Mimi nimtumiaji wa ving'amuzi vya easy tv kwa muda mrefu na ni vingamuzi vizuri saaana na channel za local zipo[Tz]zote. Kinacho niudhi kwa sasa ni hawa wamiliki hawatafuti mawakala wa kuuza...
2 Reactions
42 Replies
13K Views
Simu za nokia za windows ukilinganisha na za android zipi bora?
0 Reactions
0 Replies
549 Views
Hey beloved, Naulizia namna ya kuapata app yenye liturigia ya nyimbo za kikisto haswa kwa wale wanosali KKKT. Nimekwenda play store lakini sipati hiyo kabisa Many thanks in advance
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Download app ya Mobdro kuweza kuangalia Channel mbalimbali kwenye simu yako, ziwe za michezo kama ESPN,sky sports, euro sports...za miziki kama kiss Tv UK, 4 music..za habari, documentaries na...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Amani iwe pamoja nanyi, Ningependa kufahamu wale wataalam wa kuflash cm kwa kutumia computer hua wanafanyaje ama wanatumia software gani kufanikisha shughuli ile? Tafadhali kwa anaefahamu...
0 Reactions
0 Replies
861 Views
Mwenye link ya whatsapp plus anisaidie maan nimejaribu kudownload nashindwa kweny cm yangu
1 Reactions
2 Replies
939 Views
Samahani wakuu kwa kuwasumbua ila nina shida kidogo naombeni msaada wenu au mawazo yenu kwa mtu yeyote ambaye ana ujuzi juu ya jinsi ya kununua application za android kutoka kwenye google play...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani kama nilivyoeleza hapo juu, simu yangu ilidondoka chini baada ya kuiwasha ikawaka lakini haifanyi kazi; ila nikipigiwa inaita tatizo kupokea na laini inasoma vizuri, nifanyeje na simu yangu...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Toyota kutambulisha gari lilotengenezwa kwa mbao na teknolojia ya kiutamaduni ya nchini Japan isiyohusisha utumiaji wa misumari wala nati katika kuzishikilia mbao hizo. Sersuna – Gari la mbao...
1 Reactions
1 Replies
3K Views
Siku zote hua naamin kwa kiasi flan zamani kabla ya utawala africa na mabara mengine tulikuwa hatujapishana sana kwenye masuala ya teknolojia ila tu tulianza kupishana pale tu ambapo ukoloni...
0 Reactions
34 Replies
4K Views
Habari wakuu nna sim tajwa hapo juu inauzwa bei maelewano
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Msaada jamani kama umesahau password au pattern ulizo weka kwenye simu yako ni njia ipi nitaondoa bila ya kwenda kuflash?
0 Reactions
29 Replies
7K Views
Wakuu salam Naomba mwenye ujuzi na utalaam was kufunga/kuzuia sms husasani za Huduma kwa wateja kujirudiarudia hata zaidi ya mara 100 kwenye simu yangu ya smartphone anisaidie. Maana nimeshaenda...
0 Reactions
19 Replies
5K Views
habari za asubuhi ndugu zangu na shida na simu yangu toka jana nikiweka line ya tigo inaandika emergency calls only, nikiweka line nyingine inafanya kazi, na pia nkiweka line yangu kwenye simu...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Msaada, watsap copied msgs zinaenda wapi?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nimeshindwa kuunganisha wifi hotspot natumia tecno y6,simu zingine zinakubali ila kwangu inagoma sijajua ni kwa nini mwenye ujuzi anijulishe waungwana
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Wadau nataman kufahamu software ya kutengenezea kalenda
0 Reactions
1 Replies
528 Views
Back
Top Bottom