Wadau Niungeni mkono kwa hili

Bornvilla

JF-Expert Member
Feb 17, 2011
924
271
karibuni ktk channel yangu ya YouTube ambayo ni Kipingu TV naombeni wadau msiache ku subscribe. Hapo utapata video mbalimbali za kisiasa,michezo nk

napokea ushauri maana mi bado mwanafunzi ktk suala hili.

Bonyeza link hii ikupeleke ktk channel yangu
Kipingu TV
 
unashauriwa uwe unaweka contents zako na sio ku copy na kupaste contents kutoka sehemu nyingine vinginevyo watakuadhibu mkuu ila kazi ni nzuri . Fanyia kazi ushauri wangu utapata tu mpunga ila sio kazi ya siku moja.
 
Shukran sana kaka kwa ushauri wako mzuri. Nitajitahidi kuufanyia kazi aisee japo mwanzo nimgumu sana
 
poa poa ikibidi nunua camera kwaajili ya kuchukua matukio hapo mzee channel itakuwa very fast.
 
karibuni ktk channel yangu ya YouTube ambayo ni Kipingu TV naombeni wadau msiache ku subscribe. Hapo utapata video mbalimbali za kisiasa,michezo nk

napokea ushauri maana mi bado mwanafunzi ktk suala hili.

Bonyeza link hii ikupeleke ktk channel yangu
Kipingu TV
Nakushauri tu mkuu uifanye online TV
Sio kama ilivyo sasa
 
Back
Top Bottom