Startimes wamenikatia channels rasmi

Super women 2

JF-Expert Member
Nov 16, 2016
5,164
6,535
Ivi ni Mimi tu au.
Maana Leo nafungua TV nakuta Chanel mpya tu ndo zipo.

Ukijumlisha na chalel ya taifa. TBC. hizi zingine Zote, itv, startv,chanel 5,clous,chalel 10.zooote hazionyeshi.

Sijui Hawa star times wanafikiria nini na uchumi ulivyobana hivi.
 
karibu sana ktk ulimwengu wa ftt(free to air) hatuna shida hizo sisi
2e8b211d1d4180f7cb4b95d8b7c79149.jpg
 
Ivi ni Mimi tu au.
Maana Leo nafungua TV nakuta Chanel mpya tu ndo zipo.

Ukijumlisha na chalel ya taifa. TBC. hizi zingine Zote, itv, startv,chanel 5,clous,chalel 10.zooote hazionyeshi.

Sijui Hawa star times wanafikiria nini na uchumi ulivyobana hivi.

Acha kulalamika hapa, wapigie simu startimes ujue tatizo nini, unakuja kulalamika hapa ili iweje sasa. wewe ni sawa na mgonjwa badala ya kwenda hospital unakimbilia kunung'unika. Mimi natumia king'amuzi cha startimes hakuna chanel mpya hata moja leo. piga namba zao 0764700800 au 0677700800 wanapokea fasta within 20 seconds
 
Asante
 
Ivi ni Mimi tu au.
Maana Leo nafungua TV nakuta Chanel mpya tu ndo zipo.

Ukijumlisha na chalel ya taifa. TBC. hizi zingine Zote, itv, startv,chanel 5,clous,chalel 10.zooote hazionyeshi.

Sijui Hawa star times wanafikiria nini na uchumi ulivyobana hivi.
una mda gani hujalipa
 
una mda gani hujalipa
Sijawahi kulipia tangia ninunue na huhuu ni Kama mwaka wa tatu. Na Leo usiku wananitumia SMS kwamba nimepata offer ya kifurushi cha mambo ndani ya Siku tano. Na zimegunguliwa kweli.
 
basi walikusahau na sasa wamekukumbuka kalipie zote utaziona
 
Star times ni Jeneza Tupu,baada ya muda litajazwa na kuzikwa.

Mwenzao Dialo anafilisika,hawezi lipa kodi,hana vipindi,Tv yake ameshindwa kulipia dira ya dunia ya BBC,sasa anavuna mambo yake ya uchama aliyoleta kwenye TV,kapitwa hata na Tv1
 
Back
Top Bottom