BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,320
- 11,322
Habari wadau wa jukwaa hili. Napenda teknolojia. Lakin kwa leo nimekwama mnisaidie watalaamu najua mpo humu.
Nataka ku download activation code ya program moja hivi, lakini naambiwa hadi ni complete survey lakini kila niki click sehemu ya ku download hio activation code ili sasa iniletee hio survey nifanye ili download iweze kufunguka automatically, haiji survey yenyewe.
Nimejaribu kutumia mbinu fulani fulani japo sio mtaalamu kama survey removal tools lakini wapi, kama kuna mdau mtaalam nimtumie link yenye hio activation code anisaidie kuipata hio activation code bila hio survey yao ambayo hata haiji.
Kuna namna fulani nimejaribu sasa nkaambiwa "view code" ..imekuja text ndefu kweli ...manamba namba kibao sasa najarib kuangalia code yaweza kua ipi but nimeshindwa kuing'amua.
Asanteni.