Msaada wa tecno y3+

elly zebest

New Member
Jan 12, 2017
1
0
Habari zenu jamani.....natumia tecno 3+ laini mbili hivyo naombeni msaada wenu wa kutoa unlock code kwa upande wa laini ya pili iweze kusoma 3G...kwa upande wa intaneti.
 
Back
Top Bottom