Jinsi ya kufuta account facebokk

Prince_mandela

Senior Member
Jul 29, 2016
167
117
Wakuu nahitaji msaada wa namna ya ku futa account ya facebook au ku disable nimejaribuwenyewe nimeshindwa hivo kwa wenye maujuzi ya hayo mambo naomba anipe mwongozo?
 
Kama unatumia simu kwenye setting ya account yako ya FB click then securty click mwisho kabisa kuna neno limeandikwa account - Deactivate click hapo jaza password zako then deactvate ur account
 
Kama unatumia simu kwenye setting ya account yako ya FB click then securty click mwisho kabisa kuna neno limeandikwa account - Deactivate click hapo jaza password zako then deactvate ur account
Hivi ku deactivate ndio kuifuta kweli mkuu ? Samahani lakini
 
Dah... Wengi hawajui kusudio kuu la huu mradi wa facebook.... ni kukusanya mambo ya watu... Facebook haifutiki kamwe.... Unachofanya ni kuisimamisha (deactivate) tu.. Imekula kwako
 
Wakuu nahitaji msaada wa namna ya ku futa account ya facebook au ku disable nimejaribuwenyewe nimeshindwa hivo kwa wenye maujuzi ya hayo mambo naomba anipe mwongozo?

Nimekuwekea link ya moja kwa moja ! Click hiyo link itakuletea Facebook page ! Unachotakiwa niku log In then itakuletea deleting option!
 
Hivi ku deactivate ndio kuifuta kweli mkuu ? Samahani lakini
Kabla ya kumquote mtu hakikisha unapitia thread ya mtoa mada vizuri then angalia jibu kama unalakuongezea sema
haya ni maneno ya mtoa mada ktk uzi wake

" Wakuu nahitaji msaada wa namna ya ku futa account ya facebook au ku disable "
 
Back
Top Bottom