deejaywillzz
JF-Expert Member
- Mar 11, 2014
- 637
- 224
Habari wakuu, kuna hii network plan nataka kuitumia nyumbani ila nahitaji msaada wenu jinsi ya kufanya configurations
Vifaa nilivyonavyo
Router: zxv10 w300 (old router with RJ11 internet port)
Switch
Desktop PC with server 2012 (yenye network card mbili, DNS Server na Active director)
Laptop
Router ndio DHCP server, yenyewe inagawa IP address kwenye switch and WiFi kisha Desktop na Laptop zinapokea toka hapo.
Nahitaji kujua kama naweza kuifanya hiyo Desktop PC ika sambaza internet kwenye device nyingine bila ya kuwa DHCP server.