Ninapofungua Chrome au Browser Hiyo page inatokea.
Vipi kuhusu matangazo ya pop out hata ukiwa una tumia simu kawaida.fanya hivi
-install browser nyengine mfano opera halafu ingia zikiendelea kutokea ujue kuna app ndani ya simu inafanya hivyo, kama opera haijaathirika basi ni browser hijack tu.
-kwenye hizo browser zilizoathirika nenda setting zake tafuta homepage ibadili na startup page pia ibadili eka site nyengine mf google.com
Clear history zote kwenye browser zako zote. Na fungua site mpya zen ziache hizo.Wakuu,
Nahitaji msaada kuondoa hiyo .Ninapofungua browser Google chrome,hiyo site ya ngono inatokea.Mwenye ufahamu tafadhali atoe msaada.
hayo yanakuwa ni malware wapo ndani ya simu, unatakiwa umsake hade umpate umtoe, ila kama huelewi hizo process kuflash simu pia kunamtoaVipi kuhusu matangazo ya pop out hata ukiwa una tumia simu kawaida.
Factory reset haifuti kila kitu inachofanya ni ku replace /system block na internal storage ila dalvik-cache na /data zinabaki.Kufuta kila kitu mshauri atukie recovery kama twrpPole Mkuu, Hii inasababishwa na wewe Kukaa Muda Mrefu katika Internet Ukiwa una-Download vitu mbali mbali hasa katika site ambazo sio Safe ambazo zilipelekea Adwares kama Vile Counter Flix kuwa instilled kwenye simu yako.
Kuna njia Mbili Kuziondoa hizo Adwares :-
1) Fanya Scaning ya Hiyo Devise yako with Trusted Anti-Virus (Recommended KasperSky) then hakikisha baada ya Scanning kumalizika, una install Adware Removers (Recommended tumia Ccleaner).
2)Factory Resert. Njia hii itafuta kila Kitu kwenye simu yako, hivyo hakikisha Umehifadhi vile vitu vyako vya maaana kwenye SD card yako ndipo ufanye Hiyo process. Njia hii itatumika kama Shortcut ili kuondoa hizo Systems kwa kua huwezi ukaigundua hiyo system kwa mara moja ila kwa njia hii utakua umefagia kila kitu.
Je ni nini Kifanyike kuzuia Tatizo Hili kujirudia?
>>Hakikisha una Anti-Virus yenye uhakika katika kifaa chako.
>>Epuka kutembelea Site ambazo Sii salama(Hasa Porn Site)
>> Punguza Kuinstall app nyingi ambazo huna Uhakika nazo(yaani hufahamu utendaji kazi wake kamili).
Ni hayo tuu japo kwa Uchache wake ila natumaini Kidogo hichi kitakusaidia.