Simu kushindwa ku-download na ku-update Apps nini tatizo?

ipwisi

Member
Jul 11, 2015
38
15
Bila shaka wanajamii ni wazima mkiendelea kuimalizia weekend pamoja na changamoto mbalimbali tunazopitia.

Ni muda sasa simu yangu haiwezi ku-download au ku-update application yoyote lakini naweza ku-download movies za Mb nyingi tu.

Nilidhani tatizo linaweza kuwa ni network lakini naamini ingekuwa hilo ndio tatizo basi nisingeweza ku-download movies pia.

Naomba msaada wenu ili niweze kutatua hii changamoto.

Natanguliza shukurani.
 
Back
Top Bottom