mwambona jr
Member
- Jan 3, 2017
- 27
- 42
Pc yangu aina ya acer aspire E 13 inatumia window 1pnikiiwasha inawaka ikishamaliza kuload then ikimaliza kuwa ikuletee sehem ya kuweka pass word inatulia ile box ya kuweka password lakini ile sehem ya kuweka password haiji hata usubiliaje naombeni msaada wenu