Kwa wataalamu wa programming njooeni hapa nimekwama

Askari Muoga

JF-Expert Member
Oct 22, 2015
6,113
4,655
Nataka kutengeneza interface au form ambayo user akiingiza jina mfano jina la mtu basi apate taarifa au data zinazo husiana na uyo mtu yani iwe ya ku search items sasa nimekwama sitaki kutumia php wala any server side script piA CTAKI KUTUMIA au ku retrieve data from database nataka kutumia
1:html
2:CSS for formatting
3:Java scriptt
Msaada plz
 
Unataka ufanye mambo kinyume hapo.

Ila inawezekana kwa kuhifadhi data zako kwenye text file in json format kwenye server, kisha katika javascript utatumia ajax kuivuta hiyo file ndani ya browser kisha kuiprocess na kudisplay results unavyotaka.

Kama una data nyingi hii inaweza kushababisha performance issues kwa site yako, maana kila unapofanya hiyo kazi user lazima adownload file nzima na browser yake, unaweza kutumia ujanja zaidi kwa kusplit data katioka multiple files anames.json, bnnames.json etc.

Unaweza kupata idea hapa How to read a text file from server using JavaScript?
 
Nataka kutengeneza interface au form ambayo user akiingiza jina mfano jina la mtu basi apate taarifa au data zinazo husiana na uyo mtu yani iwe ya ku search items sasa nimekwama sitaki kutumia php wala any server side script piA CTAKI KUTUMIA au ku retrieve data from database nataka kutumia
1:html
2:CSS for formatting
3:Java scriptt
Msaada plz
Ningekushauri utumie database, its more safe ukilinganisha na kuvuta data moja kwa moja kwenye text file
 
Back
Top Bottom