MSAADA

hashimrashidy

Senior Member
Sep 11, 2015
197
145
Habar za muda huu wakuu...

Leo naombeni munisaidie hili kabla ya kufungua blog nina facebook page ambayoo baada ya kufungua blog nataka kubadili jina la facebook page ili liendane na jina la blog

Chakushangaza sikufanikiwa kubadili maana kila nikiomba wananikatali na kunihitaji ni appeal lakn pia wanakataa sasa siajajuwa nawezaje kutatua tatizo hili

Ujumbe wanaonitumia baada ya mm kuomba ni huu kwenye picha
3290d81a2e5eee56c2b1a7ce32335bc7.jpg
 
Mara ya mwisho ulibadili lini?
 
mkuu, kama ulishabadili wiki moja kabla hawakubali, labda ipite mwezi mmoja kama ndo itakubali sijakosea
 
Back
Top Bottom