Nataka kutumia simu yangu kama modem nitumie program gani?

Nataka kutumia simu yangu kama modem nitumie program gani?

mbasajohn

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2009
Posts
247
Reaction score
39
Naomba msaada wa program itakayoniwezesha kutumia simu yang kama moderm. Nakumbka kuna wakati msela wang alinpa nimeisahau ilikuwa na uwezo wa kutumia simu yoyete ile kukonect na internet. Naomba msaada wana JF nimepen maujanja simu yang n nokia
 
Kama ni Nokia kuna ubaya gani ukitumia Nokia PC Suite?..inapatikana kwenye website yao buure kabsa!
 
Nilikuwa natumia Nokia PC Suit lakin sasa hivi inazingua inanambia Nokia Cable driver not installed lakin nikicheki nokia cable driver iko installed so ndo maana natafuta program nyingne.
 
ni vizuri utaje aina ya simu. brand nying wana software zao.
 
natumia Nokia XpressMusic 5310 lakin program ya nokia inanizungua.
 
mambo si hayo bana....

ok simu yako ni made in china ...

ila sio mchina

so PC suite ya simu yako hii hapa ni tofauti na pc suite zingine jaribu na utueleze....

Downloading Nokia PC Suite
 
asanteni mazee nimedownload nyingne ambayo iko updated imekubali na mda huu nakula raha tu kama ulaya kumbe Tz
 
Shida yote ya nini, weka ubuntu piga mzigo!! haihitaji software installation yoyote!!
 
Ubuntu ni windows kama ilivyo Windows XP, windows 7, Mac OS na kadhalika!
 
hey nokia pc suite sasa hivi ni outdated inashindwa connect simu nyingi, kwa simu mpya kama xpress music tumia ovi suite its the best
 
Back
Top Bottom