spray
JF-Expert Member
- Nov 14, 2013
- 277
- 241
Yani nikataka kutengenezewa app nikampa maelezo mtaalamu Wa kwanza kaniambia 20,000usd, mwingine 15,000usd, mwingine 1000usd, hapa nimestack, minataka simple app tu jamaa zinanipa bei balaa, ila nilichogundua watz wengi elim ya biashara hawana people need to learn just basic enterpr skills, itasaidia kwenye kupanga bei na jins ya kudeal na Mteja. Huwez tu kutaja bei kubwa hivi kwa Mteja Wa kawaida...kama unajua MTU anayetengeneza apps na zinafanya kazi na bei za kawaida pls nipe contacts
Thanks
Thanks