Maxon x3 rooting app

Maxon x3 rooting app

Parasite

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
613
Reaction score
580
wadau polen na majukumu,samahani naomba kwa mwenye kufahamu rooting mode ya MAXON X3,plz tusaidiane.yani simu ina apps ambazo ni unnecessary zinamaliza internal memory
 
Kwenye issue ya kuroot namuamini chainfire tu na super su. Kila simu yangu namtumia yeye.

Siku hizi kuna makampuni mengi yanajiingiza kwenye issue ya kuroot ili wapate hela kwa kusoma data zako na kukuekea apps kama hivyo.

Sijawahi ona hio maxon mode ila kama kuna app zinaingia bila ridhaa yako jua na data zako zinatoka bila ridhaa.

Kama ni mimi ninge unroot hio simu na kutafuta njia zinazojulikana kama super su au super user
 
sasa chief nafanya nini?coz cm yenyewe ni procesor ya MTK 1.2GHZ andoid 4.2 jellbean
 
sijakuelewa mkuu wewe ndio umeanzisha thread au na wewe una tatizo kama hili au haujaroot kabisa?

chief nina tatizo kama hilo kaka nielekeze broo niende wapi kufanya rooting.sipendi zile adds zinatokea alafu pia kuna baadh ya apps useless kwangu zinachukua nafasi bure,nisaidie broo
 
kwa ufupi nilivyonunua simu nimrikuta na apps nyingi ambazo nadhani ni manufacture nikajaribu kuinstall root checker ikaniambia your phone is not rooted,nikijaribu ku uninstall some apps zinasema you need root pammission
 
Kama matatizo ya ads yalianza ulivyoroot then toa hizo apps kisha unroot simu yako.

Mara nyingi kitu ulichotumia kuroot hicho hicho kina un root
 
chief I think hatujaelewana ktk mazungumzo,nimekwambia simu haijafanyiwa rooting na inaleta ads nyingi mpaka kero vilevile ina apps ambazo kwangu ni useless,ndiomana nimekuomba unisaidie nataka kufanya rooting.
 
yap hatujaelewana nilifkiri hizo ads na bloat zimekuja baada ya kuroot, kumbe unataka uroot ili utoe.

kuroot tumia njia yoyote cha muhimu ile root app inayotoa permision iwe inajulikana kama vile super su au super user.

app maarufu ya kuroot ni framaroot icheki hio kwanza
 
ukisharoot hakuna setting ambazo nitatakiwa kuziweka?au zitarudi?
 
ukisharoot kuna mambo mengi ya kufanya ili uweze kutoa bloatware (app zinazokuja na simu zisizokuwa na maana) pamoja na kublock matangazo, cha muhimu root kwanza then rudi
 
chief if possible nikutafute coz hii Katz imenishinda bhana.
 
Kwenye issue ya kuroot namuamini chainfire tu na super su. Kila simu yangu namtumia yeye.

Siku hizi kuna makampuni mengi yanajiingiza kwenye issue ya kuroot ili wapate hela kwa kusoma data zako na kukuekea apps kama hivyo.

Sijawahi ona hio maxon mode ila kama kuna app zinaingia bila ridhaa yako jua na data zako zinatoka bila ridhaa.

Kama ni mimi ninge unroot hio simu na kutafuta njia zinazojulikana kama super su au super user
Mkuu chainfire ni app ya ku edit graphics za apps na sio ku root afu pia siyo safe kwa kuwa ina soft breack simu nyingi 2
 
chainfire sio app ni mtu, ni developer mkubwa sana yupo xda ana apps zange nyingi tu ikiwemo hiyo super su na cf root ambayo hutumika kuroot almost simu zote za samsung na brand nyengine kubwa
 
hauamini tu mkuu google hivi chainfire 3d
 
Back
Top Bottom