naombeni ufafanuzi kuhusu Wire Transfer

herman3

JF-Expert Member
Feb 7, 2015
554
730
Jamani, nimejiunga na Appnext ila unapokea malipo yao kwa njia ya wire transfer, sasa kuna vitu vifuatavyo nimetakiwa kuvijaza lakini sijaweza kuvifahamu kwa hiyo naombeni ufafanuzi wenu wadau

SWIFT-BIC
Sort Code

IBAN

Bank Address

Bank Number (je kunatofauti na account, number? kwa sababu nayo wamehtaji)
 
Hapo cha muhimu kuwatumia ni account number yako, jina la account, swift code utapewa na bank yako na Bank name.

IBAN maana yake International Banking Account Number ambazo Africa hamna nchi yenye nazo.
 
Back
Top Bottom