MURUSI
JF-Expert Member
- Jun 25, 2013
- 4,526
- 8,791
Wakuu naomba mwenye Idea jinsi inavyo fanya kazi, Nilikuwa na Idea ya Kutengeneza sms zenye kutoa elimu hasa ya Ujasirimali ila hizo sms zitakuwa zinakatwa hela kidogo my be Tsh 100 ay Tsh 200,
Je natakiwa kuonana na Wtu wapi kwenye kampuni za simu?
Ni sms ambazo mteja aki accept anakuwa napata sms za mafunzo ya Ujasiriamali na pia anaweza jitoa asipate hizo sms.
Je natakiwa kuonana na Wtu wapi kwenye kampuni za simu?
Ni sms ambazo mteja aki accept anakuwa napata sms za mafunzo ya Ujasiriamali na pia anaweza jitoa asipate hizo sms.