Abu Haarith
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 314
- 165
habari wanajukwaa nina blog mbili moja ya kiswahili na nyingine ni ya kiingereza , sasa hii ya kingereza imekubaliwa na adsense sasa nilikuwa naomba msaada nahitaji kuweka matangazo haya ya adsense kwenye blog ya kiswahili je haiwezi kuathiri chochote kwenye adsense yangu kama nita i link blog ya kiswahili kwenye akaunti ya adsense
wajuzi wa haya mambo naomba mnifahamishe
wajuzi wa haya mambo naomba mnifahamishe