Naomba kueleweshwa, simu yangu inatoa picha zenye Mb kubwa

mwanya2

Member
Jul 21, 2015
94
49
Simu yangu ni tecno w5 nikipiga picha, picha zake zinakuwa na ukubwa wa kati ya mb 4 hadi mb 6. Sasa ni sawa au kuna tatizo kwani naona huo ukubwa wa picha ni mwingi kwa uelewa wangu, naomba ufafanuzi wa hili jambo kwa ninyi wataalam wa IT.
 
Hakuna tatizo bro ni sawa tu
 
Simu yangu ni tecno w5 nikipiga picha, picha zake zinakuwa na ukubwa wa kati ya mb 4 hadi mb 6. Sasa ni sawa au kuna tatizo kwani naona huo ukubwa wa picha ni mwingi kwa uelewa wangu, naomba ufafanuzi wa hili jambo kwa ninyi wataalam wa IT.
Nenda kwenye setting then change resolution ya picha utapata unalo hitaji
 
Back
Top Bottom