Lububi
JF-Expert Member
- May 3, 2013
- 2,128
- 3,761
Kila nikinunua note 4 tena mpya inaanza na hitilaf na huo upya wake. Ya kwanza mfumo wa mic ulkuwa mbovu fund mikoan ikawashinda kupata charge system. Sasa nimenunua tena note 4 mpya inawaka baada ya muda km dk 10 inaji restart na betry hata kana imejaa inashuka had mwisho. Wakat mwingine nao gea na mtu mara haniskii na ananiskia tena. Mtaalam anambie kabla sijajielekeza kununua betri nyingine. Sim imekuja tayar rooted sikuelewa. Mbaya zaid screen mirroring haifany kaz. Ni lollipop. Ni tested genuine. Niko mikoan