hueyfreeman
Member
- Jan 14, 2017
- 8
- 1
Wakuu naomba mwenye raman ya nyumba ya vyumba vitatu anisaidie
Naipataje hata hyo japo niibie ibieNinayo ya vyumba vinne, self contained, room moja master
Wakuu naomba mwenye raman ya nyumba ya vyumba vitatu anisaidie
Utalipia kidogo tugawane gharama, nakutumia kwa e-mail.Naipataje hata hyo japo niibie ibie
Inabidi tugawane gharama kidogo maana nami nimenunua pia'Mzee Bure ' bado hajatoka Kichwani kwako!
Unaomba Ramani ya Kujenga Nyumba? Sasa Nani atanunua?