Nauliza... je kuna 'Polish-Spray' specifically for LED/LCD Tv?
Au ile polish spray for laptop inafaa pia kusafishia Tv? nataka kusafisha TV na theatre. Vinachakazwa na vumbi jamani. Vyumba vya uswazini vumbi nyomi.
Zipo ambazo ni kwaajili ya kioo tu na zipo ambazo ni kwaajili ya plastic, bati, na mbao laini au laser. Zimejaa madukani
Hii hapa chini ni kwaajili ya vioo tu, tv, madrisha, meza za vioo mk
Zipo ambazo ni kwaajili ya kioo tu na zipo ambazo ni kwaajili ya plastic, bati, na mbao laini au laser. Zimejaa madukani
Hii hapa chini ni kwaajili ya vioo tu, tv, madrisha, meza za vioo mk
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.