Msaada meseji zinachelewa kufika

BANGO JEUPE

JF-Expert Member
Nov 21, 2015
3,079
2,152
Wakuu tatizo ni nini, kila nikituma ujumbe wa kawaida kwa njia ya simu , meseji haziwafikii kwa wakati, vivyohivyo nao wakinitumia zinachelewa kunifikia!
 
Wakuu tatizo ni nini, kila nikituma ujumbe wa kawaida kwa njia ya simu , meseji haziwafikii kwa wakati, vivyohivyo nao wakinitumia zinachelewa kunifikia!
Kwanza unatumia mtandao gani? pili hakikisha umeweka "message center number" sahihi.

Lakini pia sms kwenda mitandao tofauti huwa zinachelewa, hasa tigo na voda. Sijui hizo sababu za kiufundi. Hao watu msg zinaochelewa mnatumia mtandao mmoja?
 
Hawa Tigo nadhani watakuwa wana shida kidogo pale mteja anapotuma sms kwenda mitandao mingine, mimi nikituma halotel kutuma sms kwenda tigo inaweza kukaa hata masaa matano haijafika.
 
Back
Top Bottom