Msaada: PRINTER inasumbua

publito

JF-Expert Member
Nov 13, 2016
571
660
Wakuu bila shaka hamjambo, nimekuwa na tatizo kwenye printer yangu wakati wa kupiga copy na ku-print wino umekuwa ukionekana kumwagika sana upande mmoja kama inavyoonyesha, kama kuna wataalamu humu naomba msaada wenu tatizo linaweza kuwa nini?

Natanguliza shukrani

a 001.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom