mkuu kinachoweza kuondoa hao shortcut ni kaspersky antivirus, kwa experience yangu ya miaka mingi 95% ya free antivirus haziwezi kuondoa huyo mdudu.... tafuta kaspersky tuu either cracked version or yakulipiaGuys Nina pc niliweka flash ya mtu yenye wale virus wanaohide files na kuziweka shortcut ... sasa kila nikiweka any external drive inapigwa shortcut nauliza jinsi ya kuwatoa completely kweny PC.