Naona Tigo na Vodacom Leo wamekuja na Bei zao.

Wakazi hivohivo mpk tukae sawa..... Sisiem ni chama pendwa kinajali wananchi
 
Somo la kuisoma Number ndio kwanza lipo kwenye Utangulizi. litawafikia watanzania wote kwa nnjia moja au nyingine.
 
Bora Bei ya internet ipande Tutumie Mitandao kwa Nidhamu

Haiwezekani watu mpaka wanalala Mitandaoni So poa Mtu usiku Wa manane yupo Anaperuzi kwa Nini!??

Naunga Mkono Hoja GB 1 Iuzwe Laki Nane.
 
Mnawasema sana Miungu watu. Wamekasirika kwahiyo wanataka wawafunge midomo.
ENDELEEN KUIMBA HAPA KAZI TU
 
daaah mkuu wameisha ongeza. kuna haja ya kuhamia kwenye tochi sasa.
 
Back
Top Bottom