Tatizo la storage kujaa kwenye simu

Tatizo la storage kujaa kwenye simu

chakii

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2013
Posts
21,535
Reaction score
28,283
Habari wanabodi

Katika simu yangu kuna tatizo la "storage space run out ".


Naweza kuweka memory card ya Gb 16 ambayo ni empty kabisa lakini nashindwa ku download hata picha ya kb chache kabisa,


Ninapobadilisha storage yaani kutoka kwenye INTERNAL STORAGE kwenda kwenye MEMORY CARD bado tatizo ni lile lile na kiuhalisia sioni vitu vinavyosababisha Internal storage ya Gb 8 kujaa kwa haraka namna hiyo.



Wakuu naomba kujua namna ya kupata ufumbuzi wa hili tatizo, pia kama naweza kupata App nzuri ya ku clear cache na data ambazo sio muhimu maana nimefikiria ku format simu nikaona kuna baadhi ya vitu muhimu nitapoteza.



Naomba msaada tafadhali.


Screenshot_2017-01-25-10-39-44.png
 
11a72dfdecf75423aa8428ca6a224368.jpg
0d7e5490b05315670683894de176e717.jpg
ingia hapo kwenye File manager then fungua file moja moja futa cache zote na uchafu uchafu ambao haina maaana
Hapo ndipo utaona uchafu ulovyojaa na kuchukua nafasi hasa
Jf notification
web history
na makorokoro kibao Mimi huwa unafanya hivyo mkuu.
 
Ingia setting
Kuna sehemu imeandikwa data usage

Set maximam data usage
Up to 900GB
Tatizo litakuwa over
 
Back
Top Bottom