Msaada watsapp & insta kufeli

Msaada watsapp & insta kufeli

Mastamind

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2013
Posts
1,318
Reaction score
845
Tafadhari Shufu Kichwa cha Habari Hapo Juu,,

Naomba Kusaidiwa, Applications zote za Simu yangu ya Android TECNO Boom J8 Zinafanya Kazi Upande wa Internet Kasoro Whatsapp na Instagram ambazo ukizifungua zinasema NO CONNECTION wakati network na bundle viko swafi2



Niko Chini ya Miguu Yenu Tafwazari Naombeni Msaada wa Haraka Kabla Sijaachika na Vile Mwajuwaga Shemela Wenu Anawasiliana Namie Kupitia Njia Hizo[emoji120]
 
Tecno zinasumbua sana nimeshaletewa kama 4 zote boom j8 tatizo kama lako, animeangaika mwisho wa siku nikafanya hard reset, cha kushangaza ukitumia wireless watsap & instagram zinafanya kazi.
 
Back
Top Bottom