msaada : Jinsi ya kupunguza ukubwa wa folder za pdf

Xiang Hao

Senior Member
Nov 19, 2016
126
98
Habari wakuu wa ukumbi huu leo niko na shida kuhusu PDF kama kichwa kinavyojieleza hapo juu nahitaji kutuma PDF kwenye website flani ya nje bt inahitajika folder langu liwe na MB moja kamili sasa mimi file langu lina MB mbili SO naombe ni msaada jinsi ya ku-convert ziwe na MB moja tu


MUHIMU : Kama mada haija kupendeza vunga, sio kila mada uchangie.
 
Back
Top Bottom