Msaada: USB yangu haineshi kwa flatscreen

Hapo hamna tatizo mkuu, ndo imesoma chakufanya chukua rimoti yako fanya chaguzi ktk screen yako, chagua usb port(media) kama ulivochomeka card reader then itakuletea pictures, music, movie utachagua unachotaka kuona.
 
Habarini members!
Nikichukua Cardreader nikiweka memery card kwenye screen inaniambia USB 2.0
nini tatizo?
Ishawahi kuonesha? Angalia kuna TV nyingine zina USB port but ni kwa ajili ya kuUpdate filmware ya TV na si kwa ajiki ya Media.Mara nyingi hiyo port imeandikwa SERVICE.
 
Ishawahi kuonesha? Angalia kuna TV nyingine zina USB port but ni kwa ajili ya kuUpdate filmware ya TV na si kwa ajiki ya Media.Mara nyingi hiyo port imeandikwa SERVICE.
Haikuonesha? Nikiweka card reader yenye memory card inasoma USB 2.0 na nikifanya chaguzi niki-enter kwenye movie haioneshi mkuu nifanyeje??
 
Mkuu hyo tupa tu,halafu foxy akiwaambia ukweli msiwe mnachukia maana kuna vitu vingine hata mshikaji wako unamuuliza sio mpaka upost huku jf,kwa akiri yako utakuja uulize jamani wana jf kuna cd yangu nikiweka kwenye deck flat screen yangu inaanza kuscrach
 
Haikuonesha? Nikiweka card reader yenye memory card inasoma USB 2.0 na nikifanya chaguzi niki-enter kwenye movie haioneshi mkuu nifanyeje??
Jaribu kuweka flash disc ya kawaida.Ikigoma,most lijely hiyo ni port ya service kwa ajili ya kuupdate filmware ya TV.
 
Back
Top Bottom