Low battery temperature

dedam

JF-Expert Member
Jan 5, 2011
845
166
Nikichaji simu ina andika maandishi haya low battery temperature
Simu inatatizo gani na nifanye nini kuondoa tatizo hili
 
1. Simu aina gani .....??
2. Cheki betri.
3.Cheki charger.(kwa kujaribu nyingine,na hiyo yako kujaribia kwenye simu nyingine)
4.ukiona vyote viko poa,basi badili charging system.
 
Tecno w3
 
Nikichaji simu ina andika maandishi haya low battery temperature
Simu inatatizo gani na nifanye nini kuondoa tatizo hili
google mtandaoni ujue simu yako inatumia charger yenye volt ? na ampier ?..mfano vlt 5 A 2.0
hakuna tatizo lingine kamanda wangu ni charger tu....
 
Back
Top Bottom