Line ya Halotel ya chuo.

nellwan

JF-Expert Member
Mar 17, 2016
378
682
Habari.
Wakuu kutokana na hali ya maisha kuzidi kuwa tight na mitandao ya simu kuzidi kupunguza MB naomba mnielekeze namna ya kupata line ya Halotel ya chuo ili niweze kupata university offer.
 
d02aad2097bc6c6e79d6c443e5c81b9f.jpg

Pole sana.
Karibu tigo university kwa buku 3 tu ya kifurushi cha kwanza na registration baada ya hapo kifurushi ni 1500 kwa wiki.
130mins tigo-tigo
Unilimited sms's
1gb of data
 
Mkuu nilipo tigo ni tatizo. Msalimie Shem mashaka
 
Duuh pole sana. Halotel zinapatikana ila bei ndo hiyo 5000., nenda kwa wakala,

Btw ttcl ingekua inabamba huko ningekushauri upige ttcl , of yao y chuo ndio the best mana ni 2500 kwa mwezi (unilimited ttcl-ttcl, 25min to other networks, unlimited sms, 2.5gb of data)

Ila angalia mtandao unaoshika vizur mkuu
 
Huku nilipo Halotel wako vizuri.
 
Back
Top Bottom