Msaada nokia lumia 520 ku upgrade windows 8.1 to windows 10

Orng'adida

Member
Jan 30, 2012
38
4
Natumia Nokia Lumia 520 windows 8.1, nataka Ku upgrade ili niweze kutumia windows 10. Kuna application inaitwa windows 10 upgrade advisor sasa nikitaka Ku upgrade to windows 10 inasema not supported. Sasa hataa kama nikitaka Ku download windows 10 software direct kutoka play store haipo Na nikidownload kutoka google inasema my Nokia 520 does not support. Msaada wenu watau ili niweze kutumia windows 10. ASANTE
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom