Msaada. Naitaji kuroot simu yangu tecno W5

Habari zenu wadau naombeni Msaada kulingana na kichwa apo juu pia nakaribisha ushauri

Download Application Inayotwa Kingo Root Itakusaidia
Lakini Kabla Haujaanza Kumbuka Kwenda Settings Kisha Ingia developer Afu Ruhusu USB Debug Iwe On
Ila Uwe na mb Katika Mordem am Router Yako Maana unaporoot Simu Pc Yako Lazima Iwe Connected Internet
 
Msaada nataka kununua sim kuna samsung note edge na kuna oppo f1 plus je kati ya hizo mbili ninunue ipi msaada tafadhali
 
Back
Top Bottom