NAOMBA KUJUA

Raphael gadau

JF-Expert Member
Jan 17, 2017
1,006
306
kuna utofauti gani kati ya
ICLOUD---------?
NA
APPLE ID------?
85656c767722e20a495e72a484a8b45d.jpg
 
kuna utofauti gani kati ya
ICLOUD---------?
NA
APPLE ID------?
85656c767722e20a495e72a484a8b45d.jpg

Mkuu toa hiyo picha,imei namba zinaonekana.

Apple ID ni utambulisho/account utakayotumia kwa ajili ya huduma za apple.

Icloud ID hii inasaidia kushare taarifa zako kutoka kifaa kimoja cha apple kwenda kingine na pia kinatunza taarifa zako.
 
Back
Top Bottom