Flash sms,Class o sms

Aventus

JF-Expert Member
Mar 8, 2013
2,011
2,165
Hii flash sms ni kama zile sms tunazotumiwa na tigo baada ya kujiunga na kifurushi chochote.ukitumiwa huwa inakuja moja kwa moja imefunguka.

Nakumbuka enzi tunatumia nokia za kubonyeza keypad zilikua zinasapoti flash sms.

Sikumbuki jina sahihi la zile nokia zinazosapot flash message lakin kwa waliowai kuzitumia naamin wanaelewa nini namaanisha.

Nimejitahidi kutafuta application ya flash message ya android ila sijafanikiwa.kwa wataalam labda wanaweza kunipa muongozo.

Hitimisho sina nia mbaya ya kutumia flash sms kwa kufanya hualifu wowote dhidi ya serikali yangu.

Hitaji hasa ni kutoa kuacha tail kwenye michepuko yangu ya halali.
 
Mimi nina Nokia 110 ina hyo flash sms
 
Back
Top Bottom