Simu yangu Nokia N8 imejilock, inahitaji code

Lipyusiki

Member
Feb 7, 2017
32
13
Habari ya kazi mafundi wana JF.
Samahani nilikua naomba msaada wa kuifungua simu aina ya Nokia N8. Ilijilock baada, ya kuweka memory kumbe kwa bahati mbaya ilikua na virus. Naomba mnisaidie nifanyeje
 
pin code za noki mara nyingi zinakuwa 12345 kama simu ni mpya haujanunua kwa mtu umeanza kuitumia wewe...
jaribu hiyo...
 
Back
Top Bottom